Rais wa Yanga Injinia Hersi Said leo ameungana na Wananchi wa Dar es salaam katika jogging ikiwa sehemu ya hamasa kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili, Februari 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Hersi ameendelea kuwa kiongozi wa mfano akiwa mstari wa mbele katika kila jambo lenye manufaa kwa klabu ya Yanga
Kesho ni siku kubwa kwa mashabiki wa Yanga, hakikisha umekata tiketi yako ili uwe sehemu ya hamasa kwa wachezaji katika mchezo dhidi ya TP Mazembe





ADVERTISE HERE