Dhamira ya kumpiga TP Mazembe pale kwa Mkapa siku ya kesho ni kubwa, leo Wananchi wanafanya mazoezi kwa ajili ya shoo hiyo kubwa ya heshima
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said, Mtendaji Mkuu Andrew Mtine na viongozi wengine waandamizi wa Yanga wameshiriki jogging iliyoanzia Makao Makuu ya Yanga asubuhi ya leo Jumamosi, Februari 18 2023







ADVERTISE HERE