Mashabiki na Wanachama wa Yanga Tegeta jijini Dar es salaam leo watakuwa na nafasi ya kuzungumza na wachezaji na viongozi wao ikiwa sehemu ya hamasa kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa Jumapili, Februari 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Jana Yanga ilifanya tukio la aina hiyo Mbagala ambapo mashabiki walipata nafasi ya kuwauliza viongozi wao maswali pamoja na kuzungumza na wachezaji ambao wako kambini Avic Town
Pia mauzo ya tiketi yanafanyika kupitia gari maalum
Tukio hilo litafanyika saa 6 mchana
ADVERTISE HERE