Yanga Princess imeendelea kutakata kwenye ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' ikiichapa Amani Queens mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru
Nyota wa Kimataifa kutoka Msumbiji Cuta Ninika ameanza kuwapa raha Wananchi leo akiweka kambani mabao mawili huku Maimuna akifunga pia
Ni ushindi ambao unaisogeza Yanga Princess kwenye nafasi ya tatu, karibu na wanaoongoza ligi baada ya kufikisha alama 20 alama mbili nyuma ya Simba Queens inayoongoza ligi



ADVERTISE HERE