Msafara wa kikosi cha Yanga umerejea salama jijini Dar es salaam wakitokea Tunisia ambako walicheza mechi ya kwanza ya hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya US Monastir. Yanga ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao 2-0
Wananchi sasa wanajipanga na mchezo unaofuata dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa Jumapili, Februari 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa





ADVERTISE HERE