Kikosi cha Yanga kimeondoka Tunisia kurejea Tanzania tayari kwa mchezo wa pili wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa Jumapili, Februari 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga inarejea nchini kupitia Dubai ambapo kikosi kitawasili nchini kesho Jumanne
Baada ya kupoteza mchezo dhidi ya US Monastir hapo jana, Yanga inahitaji kushinda mechi dhidi ya TP Mazembe ili kuweka hai matumaini ya kusonga mbele hatua inayofuata katika michuano hiyo
ADVERTISE HERE