Ukitoa mchezo wa Mei 14, 2016 uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 ambapo Ndanda FC ilisafiri kuivaa Yanga uwanja wa Taifa licha ya kuwa mwenyeji kutokana na Yanga kukabiliwa na ratiba ngumu ya michuano ya Kimataifa, Kabla ya mchezo wa leo Yanga ilikuwa haijawahi kuifunga Ndanda wala kufunga bao kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.
Leo imeandika Historia mpya! Angalia matokeo ya michezo yote ya Yanga iliyochezwa Mtwara
Jumatano February 28, 2018
Ndanda 1-2 Yanga SC (mwiko umevunjwa)
Jumatano Septemba 7, 2016
Ndanda 0-0 Yanga SC
Jumamosi Septemba 9, 2015
Ndanda 1-0 Yanga SC
Jumamosi Mei 9, 2015
Ndanda 1-0 Yanga SC
Leo imeandika Historia mpya! Angalia matokeo ya michezo yote ya Yanga iliyochezwa Mtwara
Jumatano February 28, 2018
Ndanda 1-2 Yanga SC (mwiko umevunjwa)
Jumatano Septemba 7, 2016
Ndanda 0-0 Yanga SC
Jumamosi Septemba 9, 2015
Ndanda 1-0 Yanga SC
Jumamosi Mei 9, 2015
Ndanda 1-0 Yanga SC
ADVERTISE HERE