FT : Monastir 2-0 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Feb 2023
FT : Monastir 2-0 Yanga

Mchezo wa kwanza kwa Yanga hatua ya makundi kombe la Shirikisho umemalizika kwa Wananchi kukubali kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya US Monastir huko Tunisia

Monastir walifunga mabao yao kwenye dakika 16 za kwanza wakitumia makosa ya safu ya ulinzi ya Yanga katika kucheza mipira ya krosi

Ni mabao yaliyofanana na aina ya mabao ambayo Yanga imekuwa ikiruhusu kupitia mipira hiyo

Yanga ilitawala mchezo huo kwa muda mwingi kitu pekee ambacho kitawasononesha Wananchi ni timu yao kutofunga bao

Mchezo unaofuata ni dhidi ya TP Mazembe, utapigwa Jumapili ijayo katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Wanasema kila mtu ashinde kwao, hiyo ni mechi ambayo Yanga inazihitaji alama zote tatu nyumbani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’