Klabu ya Yanga imetuma salamu za rambirambi kwa familia ya Dk Paschal Joackim aliyefariki dunia leo
Dk Joachim alikuwa rafiki na shabiki mkubwa wa Yanga ambapo mara kadhaa uongozi wa Yanga na hata wachezaji walimtembelea na wakati mwingini kumualika uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mechi
"Uongozi wa Yanga umepokea kwa masikitiko taarifa ya msiba wa Daktari bingwa wa mionzi na shabiki mkubwa wa Klabu yetu Paschal Joackim. Yanga inatoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu jamaa na marafiki. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe"
ADVERTISE HERE