Ruksa viwanja kujaa Ligi ya Mabingwa, Shirikisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Feb 2023
Ruksa viwanja kujaa Ligi ya Mabingwa, Shirikisho

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeziruhusu klabu zinazoshiriki hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho kuruhusu mashabiki kuingia viwanjani katika mechi zao

Kulingana na taarifa iliyotolewa na CAF, hakuna kiwango elekezi kwa mashabiki kama ilivyokuwa kwa misimu miwili iliyopita

Ni baada ya Shirikisho hilo kujiridhisha nchi za barani Afrika zimefanikiwa katika udhibiti wa maambukizi ya virusi vya corona

Ni rasmi sasa dimba la Mkapa ni ruhsa kwa Wananchi 60,000 kufurika katika mechi tatu za Yanga ambazo zitapigwa katika uwanja huo

Mechi hizo ni dhidi ya TP Mazembe, Real Bamako na US Monastir

Mechi ya kwanza nyumbani ni Februari 19 dhidi ya TP Mazembe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’