Mshambuliaji wa Yanga Lazarus Kambole ambaye anaitumikia klabu ya Zesco United kwa mkopo, ameanza kuuwasha moto huko Zambia kwenye ligi kuu ya nchi hiyo
Leo Kambole ameiongoza Zesco United kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Green Eagles akifunga mabao mawili
Amefikisha mabao matatu katika mechi mbili alizoitumikia Zesco tangu aliporejea kuitumikia timu hiyo mwezi Januari
kambole ataitumikia Zesco kwa miezi sita na kama Yanga itamuhitaji inaweza kumrejesha mwishoni mwa msimu kwani bado ana mkataba wa mwaka mmoja na nusu na Yanga
ADVERTISE HERE