Klabu ya Yanga itaendelea kuitambua kampuni ya SportPesa kama Mdhamini wao Mkuu na kuwa wataendelea kusimamia na kuheshimu makubaliano ya kimkataba waliyoingia na kampuni hiyo
Aidha Yanga imesisitiza kuwa haikukiuka makubaliano ya kimkataba kwa kuzindua jezi maalum ya mashindano ya kombe la Shirikisho la CAF yenye nembo ya Mdhamini mwingine Haier



ADVERTISE HERE