Klabu ya Yanga leo saa 2 usiku itakuwa na tukio kubwa maalum kwa ajili ya Wapenzi na Wanachama wake
Tukio hilo litajiri Hoteli ya Serena na litakuwa mbashara Azam Sport 3
Hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Afrika imekaribia, Wananchi wanatarajiwa kutambulisha uzi mpya ambao wanakwenda kuutumia katika michuano hiyo

ADVERTISE HERE