Mchezo wa ligi kuu kati ya KMC dhidi ya Yanga ambao utapigwa Fabruary 22, umepelekwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora
KMC ndio wenyeji wa mchezo huo ambao awali ulipangwa kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Imekuwa kawaida kwa KMC kuzitoa nje ya jiji la Dar es salaam mechi dhidi ya vigogo wa soka nchini Yanga na Simba
Msimu uliopita mchezo kati ya KMC dhidi ya Yanga ulipigwa uwanja wa Majimaji, Songea
ADVERTISE HERE