Kesho Jumapili Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakaribisha Rhino Rangers katika mchezo wa kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) raundi ya tatu
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa saa 1 usiku
VIp A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Unaweza kujipatia tiketi katika vituo vilivyoainishwa chini;


ADVERTISE HERE