Mshambuliaji Donald Ngoma amewasili jijini Dar es salaam jana akitokea nchini Afrika Kusini alikokuwa akihudhuria matibabu ya goti.
Ngoma atajiunga na kikosi cha Yanga ambacho tayari kimeanza maandalizi ya msimu mpya tangu wiki iliyopita.
Ngoma alipewa mapumziko ya miezi minne na juzi alifanyiwa vipimo na madaktari waliokuwa wanamtibu nchini Afrika Kusini na kuuhakikishia uongozi wa Yanga kuwa mchezaji huyo sasa yuko fiti kwa asilimia 100.
Ngoma sasa anaungana na washambuliaji wengine Amissi Tambwe, Obrey Chirwa na Ibrahim Ajib walioanza mazoezi tangu wiki iliyopita

ADVERTISE HERE