Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi Avic Town kujiandaa na mechi zinazofauata ambapo Jumapili Wananchi watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kumenyana na Rhino Rangers katika mchezo wa kombe la FA
Ikiwa sehemu ya program ya mazoezi, leo Yanga ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Transit Camp na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0. Kennedy Musonda na Stephane Aziz Ki walifunga mabao ya Yanga





ADVERTISE HERE