Nabi aongeza dozi ya mazoezi kuelekea Shirikisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2023
Nabi aongeza dozi ya mazoezi kuelekea Shirikisho

Kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini leo baada ya mapumziko siku moja wakitoka kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameongeza 'session' za mazoezi kuhakikisha vijana wake wanakuwa 'fit' kuelekea mechi za hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Wachezaji wamekuwa wakifanya mazoezi mara mbili kwa siku, asubuhi wakifanya mazoezi utimamu wa mwili na jioni kucheza mpira

Ikumbukwe Mikiki mikiki ya hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika inatarajiwa kuanza katika kipindi cha wiki mbili zijazo

Februari 12 Yanga itakuwa nchini Tunisia kuumana na US Monastir katika mchezo wa kwanza wa makundi

Mechi tatu zitapigwa mwezi Februari, mechi mbili March na mechi ya mwisho kupigwa April 2023

Baada ya kuwakabili US Monastir, Wananchi watarejea nyumbani kuikabili TP Mazembe February 19 kisha kupaa nchini Mali kuikabili Real Bamako February 26

Katika mwezi Februari pia Yanga inatarajiwa kucheza mechi mbili za ligi kuu dhidi ya Namungo Fc na KMC

Baada ya kufanikisha malengo ya awali ambayo ni kutinga hatua ya makundi, Yanga imepania kutinga robo fainali ya michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’