Yanga kujipima na Transit Camp Avic Town

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2023
Yanga kujipima na Transit Camp Avic Town

Kikosi cha Yanga leo kinatarajiwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Transit Camp ambao utapigwa Avic Town, Kigamboni

Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi ya kikosi cha Yanga kuelekea mchezo wa kombe la FA dhidi ya Rhino Rangers ambao utapigwa Jumapili, Januari 29 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 1 usiku

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema mchezo huo ni sehemu ya maandalizi kwa ajili ya kuwakabili Rhino Rangers

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting, wachezaji wa Yanga walipewa mapumziko ya siku moja na leo wamerejea mazoezini

Mchezo dhidi ya Transit Camp utawapa nafasi wachezaji ambao hawakutumika katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’