Kikosi cha Yanga leo asubuhi kimeendelea na mazoezi katika uwnaja wa Nagwanda Sijaona mkoani Mtwara kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Ndanda FC.
Kuelekea mchezo huo, Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema Yanga iliyowasili jana mkoani Mtwara uko tayari kwa ajili ya mchezo huo.
Naye Kocha Mkuu George Lwandamina amesema kuwa amewaandaa vijana kikamilifu kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mchezo huo.
Yanga yenye alama 37 inahitaji kushinda ili kuikaribia Simba inayoongoza ligi ikiwa na alama 45.
Baada ya mchezo huo Yanga itarajea jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers.

ADVERTISE HERE