Viingilio mchezo dhidi ya Ruvu Shooting

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jan 2023
Viingilio mchezo dhidi ya Ruvu Shooting

Jumatatu, Januari 23 2023 vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo wa raundi ya 21 ambao utapigwa kuanzia saa 1 usiku

VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema kuanzia Jumatatu wanaanza kuhesabu mechi nane ambazo wanahitaji kushinda ili kutwaa ubingwa

Kamwe amewataka mashabiki wa Yanga kununua tiketi zao kwa wingi ili kuwaongezea hamasa wachezaji wao katika mchezo huo ambao wanahitaji ushindi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’