Sheria Ngowi ajivunia ubunifu wa jezi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jan 2023
Sheria Ngowi ajivunia ubunifu wa jezi Yanga

Jana klabu ya PSG ilizindua jezi maalum katika mchezo wa hisani dhidi ya Al Nassr-Al Hilal uliopigwa huko UAE, PSG ikiibuka na ushindi wa mabao 5-4

Mchezo huo uliwakutanisha Lionel Messi (PSG) na Christiano Ronaldo ambaye hivi karibuni alisajiliwa na Al Nassr

Mjadala mkubwa ulioibuka mitandaoni ni ubunifu wa jezi za PSG kufanana na ubunifu ambao Sheria Ngowi ametua katika jezi za Yanga msimu huu (toleo la 2 na 3)

Ngowi amejuvunia ubunifu wake ambao sasa unaonekana kuvuka mipaka na timu kubwa kama PSG kufanya vile ambavyo yeye tayari amefanya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’