Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua Avic Town kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting ambao utapigwa Jumatatu, Januari 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Katika program ya mazoezi ya jioni Yanga ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Dar City na kuibuka na ushindi wa bao 1-0
Nyota wote wa kikosi cha Yanga wamerejea kambini ambapo Bernard Morrison, Stephane Aziz Ki na Yannick Bangala wameshiriki program za mazoezi leo








ADVERTISE HERE