Nabi akerwa na wachezaji wanaochelewa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jan 2023
Nabi akerwa na wachezaji wanaochelewa

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameweka msisitizo kuwa kwenye kikosi chake hahitaji wachezaji wasio na nidhamu

Nabi amewataka mashabiki wa Yanga waelewe msimamo wake huku akisisitiza msimamo huo hautaingiliwa na viongozi wa Yanga

Nabi ametoa kauli hiyo akionyesha kukerwa na tabia za wachezaji ambao huchelewa kurudi pale wanapopewa mapumziko kwenda kuona familia zao

"Fiston Mayele ni maarufu sana hapa Tanzania akiwa anaongoza kwenye ufungaji ligi kuu, lakini hachelewi kurudi na hata mazoezini anakuwa wa kwanza"

"Kwa sasa sitaangalia tena majina, kama mchezaji hatafuata sheria za timu nitamuweka benchi maana Yanga ni kubwa kuliko mchezaji"

"Mashabiki waelewe kama kuna mchezaji wanampenda ila hafuati sheria za timu basi ataishia kukaa benchi," alisema Nabi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’