Timu saba za Ligi Kuu ya Vodacom na moja kutoka ligi daraja la kwanza zimefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la FA (ASFC).
JKT Tanzania, Prisons na Stand United leo zimeungana na Njombe Mji, Singida United, Azam FC, Yanga na Mtibwa Sugar kutinga hatua hiyo.
Bingwa wa michuano hiyo ataiwakilisha Tanzania Bara katika michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.

ADVERTISE HERE