Yanga imethibitisha kumsajili mlinda lango Metacha Mnata ambaye ametua kwa mkopo hadi mwisho wa msimu kutoka klabu ya Singida Big Stars
Metacha anajiunga na Yanga kuongeza nguvu langoni baada ya Aboutwalib Mshery kupata majeraha ambayo yatamuweka nje kwa muda mrefu
Ikumbukwe Yanga inakwenda kushiriki michuano ya kombe la Shirikisho hatua ya makundi, inahitaji kuwa imara katika kila eneo
Karibu tena Metacha...!
ADVERTISE HERE