Viongozi Township Rollers waja mapema Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Feb 2018
Viongozi Township Rollers waja mapema Dar
Township Rollers imetuma viongozi wake mapema kuweka maandalizi kwa ajili ya kikosi chake kitakachoivaa Yanga kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa raundi ya kwanza.

Mchezo wa kwanza unapigwa Jumanne ya March 06, 2018. Tayari timu hiyo imetuma viongozi wake nchini.

Viongozi wa Rollers waliotua nchini ni pamoja na meneja wa Motshegetsi Mafa na Meneja Mkuu Sydney Magagane ambao wanaodai kuwa na lengo la kuandaa makao ya timu hiyo na kutambua maeneo yote itakafikia timu hiyo kwa kipindi chote watakachokuwa Dar Es Salaam.

Viongozi hao pia walitembelea makao mkuu ya klabu ya Yanga na kukutana na uongozi wa Yanga pamoja na kutembelea Uwanja wa Taifa utakapofanyika mchezo huo Machi 6.

Yanga ambayo ni mwenyeji wa mchezo huo inakabiliwa na michezo miwili ya ligi dhidi ya Ndanda na dhidi ya Mtibwa Sugar kabla ya kurejea jijini Dar es salaam kukabiliana na mabingwa hao wa Botswana.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’