Mshambuliaji mpya wa Yanga Kennedy Musonda leo ameanza rasmi mazoezi na wachezaji wenzake, Avic Town, Kigamboni
Leo Yanga imekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa kesho Jumatatu katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Musonda yuko tayari kuanza kuwapa furaha Wananchi....!


ADVERTISE HERE