Baada ya ushindi wa jana dhidi ya Majimaji kwenye kombe la FA, Yanga inashuka dimbani keshokutwa Jumatano kuivaa Ndanda FC kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 19.
Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.
Ni mchezo ambao ushindi ni lazima kwa Yanga ili kuendelea kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa wake hasa baada ya ushindi wa mabao 5-0 wa Simba dhidi ya Mbao FC leo.
Simba imefikisha alama 45 wakati Yanga ina alama 37.

ADVERTISE HERE