Viingilio mchezo dhidi ya Ihefu Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jan 2023
Viingilio mchezo dhidi ya Ihefu Fc

Jumatatu, Januari 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga watakuwa dimbani kupepetana na Ihefu Fc

Utakuwa mchezo wa kwanza kwa Yanga kwenye ligi katika mwaka 2023 Yanga ikidhamiria kuibuka na ushindi

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo ili kushangilia timu yao katika mchezo wa kisasi

Aidha Kamwe amesema kabla ya mchezo huenda wakatambulisha nyota wapya wawili ambao usajili wao unakamilishwa kabla ya dirisha la usajili kufungwa siku ya Jumapili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’