Droo ya hatua ya 32 na 16 bora michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) inafanyika leo Ijumaa Januari 13 Studio za Azam TV, Tabata jijini Dar es salaam
Droo hiyo itakayofanyika saa 5 asubuhi, itahusisha timu za Ligi Kuu, Championship, First League, RCL na timu za FA

ADVERTISE HERE