Baada ya kuibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa DR Congo kwa mwaka 2022, mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele amekabidhiwa tuzo yake na Leopard Leader Foot
Mayele alishinda tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi, zaidi ya asilimia 81
Mayele amewashukuru Watanzania hasa mashabiki wa Yanga ambao walishiriki kikamilifu kwenye zoezi la kupiga kura
"Asanteni saana watanzania na wananchi Kwa jumla kwa sapoti na upendo wenu"

ADVERTISE HERE