Mayele aweka rekodi ya kutisha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jan 2023
Mayele aweka rekodi ya kutisha

Wengi wamemfahamu mshambuliaji Fiston Mayele baada ya kuwa amesajiliwa na Yanga msimu uliopita

Hata hivyo makali ya Mayele katika kuzifumania nyavu hayakuanza na Yanga, alifanya hivyo wakati yuko AS Vita na hata timu alizozitumikia kabla

Katika misimu 10 iliyopita, Mayele amefunga mabao 83 katika michezo 80 aliyocheza

Msimu wake wa mwisho aliyoitumikia AS Vita kabla ya kutua Yanga, Mayele alipachika mabao 14

Tangu alipojiunga na Yanga, Mayele amepachika mabao 30 katika msimu mmoja na nusu

Alimaliza na mabao 16 kwenye ligi msimu uliopita na msimu huu tayari amepachika mabao 14

Mayele anahitaji kufunga mabao mawili katika mechi 11 zilizobaki ili kufikia rekodi ya mabao aliyofunga msimu uliopita

Ni wazi msimu huu atavunja rekodi yake ya mabao ya msimu uliopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’