Baada ya Yanga kutangaza rasmi kuwa na chaneli yake ambayo itarushwa kupitia Azam TV, wengi wamekuwa na shauku ya kufahamu ni chaneli namba ngapi?
Hata hivyo bado uzinduzi rasmi haujafanyika, kila kitu kitakuwa 'mbashara' baada ya uzinduzi kufanyika
Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema wamejipanga kufanya kitu kilicho bora, Wananchi wasubiri mambo mazuri yanaandaliwa
ADVERTISE HERE