Yanga kurejea kambini Januari 12

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jan 2023
Yanga kurejea kambini Januari 12

Baada ya mapumziko ya siku kadhaa, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea mazoezini Alhamisi, Januari 12 2023 kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc

Mchezo huo utapigwa Jumatatu, Januari 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Taarifa iliyotolewa na Yanga, imebainisha kuwa, wachezaji wote ambao hawakushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi wataingia kambini Januari 12 wakati wale waliokuwa Zanzibar wataingia kambini Januari 13

Yanga imepania kuendeleza pale ilipoishia 2022 ili kuhakikisha inatetea ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa pili mfululizo

Wananchi wanahitaji kushinda mechi tisa katika 11 zilizobaki ili kuwa kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa

Mchezo dhidi ya Ihefu Fc utakuwa wa kisasi, kwani Wananchi wanakumbuka walipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa duru ya kwanza uliopigwa Mbarali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’