Klabu ya Yanga imepiga hatua kubwa kwenye digitali baada ya kutambulisha rasmi chaneli yake ya Yanga TV
Chaneli hiyo itapatikana kwenye kisimbuzi cha Azam TV
Kupitia chaneli hiyo ambayo pia itaonekana kwenye Azam Max, mashabiki wa Yanga duniani kote sasa wataweza kufuatilia matukio muhimu yanayoihusu klabu yao
Yanga inakuwa timu ya kwanza Tanzania kuwa na chaneli yake
Habari ndio hiyo! Yanga sasa itatizamwa dunia nzima...!
ADVERTISE HERE