Kilichojiri shauri la Fei Toto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jan 2023
Kilichojiri shauri la Fei Toto

Leo Ijumaa, Januari 06 Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania 'TFF' imesikiliza shauri lililowasilishwa na klabu ya Yanga dhidi ya kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' ambaye mwishoni mwa Disemba 2022 alitangaza kuvunja mkataba wake na klabu hiyo

Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga Simon Patrick, Wakili msomi Alex Mgongolwa waliongoza jopo la Wanasheria wa Yanga huku Feisal naye akiongozana na Wanasheria wake katika mjadala wa kisheria uliodumu kwa takribani saa moja katika Ofisi za TFF, Ilala jijini Dar es salaam

Bado Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji haijatoa taarifa juu ya maamuzi yaliyofikiwa ingawa Mwanasheria wa Feisal alizungumza kwa ufupi kuwa hafahamu nini kitaamuliwa na Kamati hiyo na hivyo hafahamu kama Feisal atarejea Yanga au la

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’