Ligi Kuu ya Wanawake, Serengeti Lite, inaendelea leo ambapo kinadada Wananchi Yanga Princess watakuwa uwanja wa Uhuru kupepetana na Alliance Girls
Mchezo muhimu kwa Yanga Princess inayonolewa na kocha Sebastian Nkoma kushind
Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu imekuwa na ushindani, timu nyingi zinaonekana kujipanga tofauti na misimu iliyopita
Yanga Princess inashika nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi ikiwa na alama nne baada ya kushinda mchezo mmoja na sare moja
Ushindi katika mchezo huo unaweza kuwashuhudia wakisogea juu ya msimamo

ADVERTISE HERE