Leo Jumamosi ilikuwa siku muhimu kwa Meneja wa klabu ya Yanga Hafidh Saleh ambaye ametimiza miaka kadhaa.
Ni siku yake ya kumbukumbu ya tarehe aliyozaliwa na ameiadhimisha siku hiyo akiwa 'kazini' huko mkoani Ruvuma sambamba na vijana wake.
Happy BirthDay Meneja, Hafidh Saleh..!
Ni siku yake ya kumbukumbu ya tarehe aliyozaliwa na ameiadhimisha siku hiyo akiwa 'kazini' huko mkoani Ruvuma sambamba na vijana wake.
Happy BirthDay Meneja, Hafidh Saleh..!
ADVERTISE HERE