Nabi anasubiri tuzo ya Disemba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jan 2023
Nabi anasubiri tuzo ya Disemba

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alikuwa kocha bora wa mwezi Oktoba 2022

Hakuna shaka, Nabi anastahili kushinda tuzo hiyo kwa mwezi Disemba 2022 pia

Mwezi Disemba 2022, Yanga imecheza mechi sita na kufanikiwa kushinda zote

Katika mwezi huo Yanga iliichapa Tanzania Prisons 1-0, Namungo Fc 2-0, Polisi Tanzania 3-0, Coastal Union 3-0, Azam Fc 3-2 na Mtibwa Sugar 1-0

Mlinda lango Djigui Diarra alikusanya cleansheet tano katika mechi hizo sita

Yanga ilikusanya alama 18 Disemba na kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 50

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’