Mshambuliaji wa Yanga Yusuph Athumani yuko mbioni kujiunga na Coastal Union kwa mkopo
Yusuph tayari yuko jijini Tanga kukamilisha uhamisho wake wa mkopo mpaka mwishoni mwa msimu
Imekuwa sio rahisi kwake kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga, lakini Coastal Union wamemuhakikishia atacheza
ADVERTISE HERE