Yanga kuanza na KMKM kombe la Mapinduzi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jan 2023
Yanga kuanza na KMKM kombe la Mapinduzi

Baada ya kufunga mwaka 2022 kibabe kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wanaelekea Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi

Michuano hiyo inaanza leo, lakini Yanga itasubiri mpaka siku ya Jumatano, Januari 04 kuikabili KMKM

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi anatarajiwa kuwapumzisha baadhi ya nyota wake ambao wametumika sana msimu

Aidha itakuwa nafasi kwa wachezaji Yacouba Songne na Lazarus Kambole kuonyesha wameimarika kwa kiasi gani na pengine kuwapa mtihani benchi la ufundi kuamua hatma yao

Yanga imepangwa kundi B sambamba na timu za Singida Big Stars na KMKM

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’