Wananchiiii mko tayari...?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Dec 2022
Wananchiiii mko tayari...?

Hii ni habari mbaya kwao...! kwani hawataamini macho yao...!

Yanga iko tayari kutambulisha usajili wa mchezaji wa kwanza anayetua kwa Wananchi kwenye dirisha hili dogo

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said, aliahidi kuwa wachezaji watakaosajiliwa katka kipindi hiki watakuwa 'wa moto' zaidi ya hawa waliopo

Kaa tayari kwa taarifa nzuri ya usajili, muda wetu ni uleule, saa ngapi? subiri baada ya mechi ya kufunga mwaka jioni ya leo dhidi ya Mtibwa Sugar...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’