Mtibwa Sugar watangaza viingilio mapema

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Dec 2022
Mtibwa Sugar watangaza viingilio mapema

Jumamosi ya Disemba 31 2022 Wananchi watakuwa Wilayani Turiani mkoani Morogoro kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar

Mechi hii ya kufunga mwaka 2022 itapigwa kwenye uwanja wa Manungu, saa 10 jioni

Mtibwa Sugar ambao ni wenyeji wa mchezo huo wametangaza kiingilio ni Tsh 10,000/-

Taarifa iliyotolewa na Mtibwa Sugar imebainisha kuwa tiketi zitaanza kuuzwa siku ya Ijumaa, Disemba 30

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’