Miquissone bado ni tetesi tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Dec 2022
Miquissone bado ni tetesi tu

Kiungo mshambuliaji wa Al Ahly Luis Miquissone ambaye kwa sasa ametolewa kwa mkopo kunako klabu ya Abha ya Saudi Arabia, anahusishwa na mabingwa wa Tanzania, Yanga Sc

Miquissone aliondoka Tanzania misimu miwili iliyopita akijiunga na Al Ahly akitokea klabu ya Simba

Taarifa zake zimekuwa nyingi baada ya kudaiwa kutaka kuvunja mkataba wake na Al Ahly ili ajiunge na timu nyingine ambayo itamuhakikishia muda zaidi wa kucheza

Miquissone hafurahii maisha ya kutolewa kwa mkopo huko Arabuni klabu ya Abha

Baada ya Rais wa Yanga Injinia Hersi Said kurejea kutoka Qatar kushuhudia michuano ya kombe la Dunia, ndipo tetesi zilishika kasi

Mtu wa kwanza kufichua tetesi hizo ni aliyekuwa Msemaji wa Yanga Haji Manara ambaye alimpost Miquissone kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

Wengi wanakumbuka hata usajili wa Stephane Aziz Ki, aliyeanza kutupia picha katika mitandao ya kijamii alikuwa Manara

Taarifa za ndani zimebainisha kuwa Injinia Hersi alifanya mazungungo na Miquissone na wawakilishi wake hivyo lolote linaweza kutokea lakini uwezekano wa yeye kuachana na Abha ni mwishoni mwa msimu huu

Hivyo kama Yanga itafanikiwa kumsajili, ni kwa ajili ya kumtumia msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’