Katika picha hizi kutoka kwa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said akiwa sambamba na Mdhamini, Mfadhili wa Yanga Ghalib Said Mohemmed (GSM), kuna ujumbe ndani yake
Ni kuwa bosi yuko mawindoni, Wananchi wasubiri majibu ya mawindo hayo...!



ADVERTISE HERE