HAYA NDIO MAAZIMIO BAADA YA KIKAO CHA WACHEZAJI WA ZAMANI NA MWENYEKEITI.
1.Kuwashirikisha katika masuala ya klabu na kuwaweka karibu na klabu.
2.Kujenga umoja wa wana Yanga kwa ujumla.
3.Kuunda safu ya uongozi wao itakayorahisisha mawasiliano baina yao na uongozi wa klabu.
4.Kuweka kumbukumbu kwaajili ya historia ya klabu na vizazi vijavyo kupitia wao.
5.Kusaidiana katika suala zima la ugunduzi wa vipaji vya wachezaji kwa manufaa ya klabu.
Imetolewa na idara ya habari na mawasiliano
Young Africans Sports Club
17-07-2017.

ADVERTISE HERE