Mwanasheria wa klabu ya Yanga Simon Patrick amewataka mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo kufikiria zaidi mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc hapo kesho kuliko tetesi zinazohusiana na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto'
Simon ametoa ufafanuzi wa utaratibu ambao mchezaji anapaswa kufuata ili kununua mkataba wake huku akisisitiza kuwa utaratibu huo haukufuatwa kwa kuzingatia matakwa ya mkataba
ADVERTISE HERE