Yanga kuivaa Township Rollers March 06

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Feb 2018
Yanga kuivaa Township Rollers March 06
Mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers utapigwa March 06 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Baada ya CAF kufanya mabadiliko ya ratiba, Simba itaivaa Al Masry kwenye uwanja wa Taifa March 09. Awali ratiba ilikuwa ikionyesha mchezo huo kupigwa March 06.

Timu hizo zinatarajiwa kurudiana baada ya wiki moja.

Msimu huu CAF imebadili kalenda yake ambapo michezo yote ya Kimataifa ngazi ya vilabu itapigwa katikati ya wiki huku ile ya ligi ya mabingwa ikipangwa siku za Jumanne na Jumatano kama ilivyo Ulaya.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’