Kituo kinachofuata ni Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Dec 2022
Kituo kinachofuata ni Azam Fc

Baada ya kugawa dozi ya tatu tatu kwa Polisi Tanzania na Coastal Union hapo jana, Jumapili Disemba 25 katika sikukuu ya xMas Wananchi watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kupepetana na Azam Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Bado ni mapema sana kuzungumzia ubingwa wa 29 kwa Yanga lakini baada ya mchezo huu, Wananchi huenda wakaanza kuona dalili za ubingwa

Ni alama tatu muhimu sana kwa Yanga katika mpango wa kutetea ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo

Mpaka sasa Yanga iko kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na alama 44, alama nane zaidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya tatu. Azam Fc leo itacheza na Geita Gold huko Nyankumbu

Katika mtanange dhidi ya Yanga, Azam Fc watakuwa wenyeji wa mchezo huo ambapo imeelezwa kuwa wameomba upigwe uwanja wa Mkapa badala ya dimba lao la Azam Complex

Mchezo wa duru ya kwanza ulimalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 2-2 Feisal Salum 'Fei Toto' akifunga mabao yote ya Yanga katika mchezo huo

Ni huyuhuyu Feisal ambaye tetesi nyingi zimemuhusisha na Azam Fc, atakwenda kuwawinda tena siku ya Jumapili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’